STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 23 Desemba 2015

KUMBE CRISTIANO RONALDO NA KWENYE BASKETBALL YUMO.................


Ronaldo (centre) and his friends clap their hands as they keep a close eye on proceedings 

Alfajiri ya leo mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo alikuwepo Miami. Alifika katika uwanja wa Americans Airline Arena ambao ndio uwanja wa nyumbani wa Miami Heat kushuhudia mchezo wao dhidi ya Detroit Pistons.
rona

Kama ilivyo ada na inavyokuwa kwa watu maarufu wengi, Ronaldo kama mgeni alikabidhiwa jezi ya Miami Heat ambayo ina jina lake mgongoni na namba anayoihusudu (7). Akaketi mkabala na benchi la ufundi la Miami Heat kutizama mchezo.

Mchezaji wa Miami Luol Deng akipozi na Cristiano Ronaldo
Mchezaji wa Miami Luol Deng akipozi na Cristiano Ronaldo
Katika mchezo huo Miami waliongoza kwa muda mrefu na kufikia uongozi wa pointi 18 katika robo ya pili pekee. 

Detroit walirejea kwa kasi huku wakipata mitupo ya pointi 3 mingi mfululizo. Walipata jumla ya mitupo 15 kati ya 29 waliyojaribu.
Deng (left) and Ronaldo (right) embrace as they meet up in Miami, Florida on Tuesday night
Reggie Jackson aliiongoza Detroit kwa pointi 18, Stanley Johnson akafunga pointi 14 huku mchezaji aliyeamua mchezo huo Caldwell Pope akifunga naye pointi 14.


Chris Bosh yeye aliiongoza Miami kwa pointi 20, Dewayne Wade akafunga 19. Mchezaji Hassan Whiteside akafunga pointi 16 na kudaka rebound 16 pia huko Beno Udrih aliyeanza nafasi ya Goran Dragic aliyekuwa majeruhi akimaliza na pointi 14.
The Portugal captain (right) bursts into laughter as Deng (left) tells a joke at the American Airlines Arena

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox