Ligi
Kuu England kuna timu 20, kati ya hizo nane zinamilikiwa na
wafanyabiashara kutoka England na 12 zilizobaki ni wafanyabiashara
kutoka nchi mbalimbali dunia.
Wamarekani
wanamiliki timu nane zikiwemo Manchester United na Arsenal huku Warusi
wakifuatia kwa kumiliki timu mbili ambazo ni Chelsea na Bornemouth.
Inawezekana
ndani ya klabu kukawa na wamiliki wengine, lakini wanaotajwa ni wale
wenye hisa kubwa zaidi ambao huitwa wamiliki wakuu.
England (8)
Crystal
Palace (Steve Parish), Everton (Bill Kenwright), Newcastle (Mike
Ashley), Norwich (Delia Smith & Michael Wynn-Jones — England/Wales),
Stoke (Coates family), Tottenham (Joe Lewis), West Brom (Jeremy Peace),
West Ham (David Sullivan & David Gold)
Marekani (5):
Arsenal (Stan Kroenke), Aston Villa (Randy Lerner), Liverpool (John W Henry) Man Utd (Glazer family), Sunderland (Ellis Short).
Russia (2):
Bournemouth (Maxim Demin), Chelsea (Roman Abramovich).
Wales (1) Swansea (Morgan family)
Italy (1) Watford (Gino Pozzo).
Switzerland (1) Southampton (Katharina Liebherr).
Thailand (1) Leicester (Srivaddhanaprabha family).
UAE (1) Man City (Sheik Mansour).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni