STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 22 Desemba 2015

WAKALI WA PASI ZA MWISHO LIGI KUU YA UINGEREZA EPL .......................................

Kwa sasa Mesut Ozil hadi anaondoka ndani ya klabu ya Real Madrid ya Hispania na kujiunga na Arsenal ya Uingereza ndio alikuwa mchezaji anayeongoza kumpa pasi za mwisho Cristiano Ronaldo na kufunga magoli. Achana na rekodi ya sasa ya Mesut Ozil ya kuwa mchezaji anayeongoza kutoa pasi nyingi za magoli kwa muda mchache.
1
Hii ndio list inayoshikilia rekodi ya muda wote ya utoaji pasi za magoli (assist) katika Ligi Kuu Uingereza kwa msimu mmoja

List ya wachezaji 10 wa Ligi Kuu Uingereza wanaoongoza kwa kutoa pasi za magoli katika msimu huu wa 2015/2016. 

Pasi za mwisho za magoli alizopiga Ozil pekee yake msimu huu amezidi pasi za magoli za Chelsea kwa wachezaji wote na Manchester United pia.

cq5dam.thumbnail.490.338.margin
Hizi ni takwimu za kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas ambaye anatajwa kushuka kwa umahiri wake wa utoaji pasi za magoli (assist) akiwa na Arsenal 2009/2010 alitoa pasi 13 na msimu 2014/2015 alitoa pasi 9.

Ozil amefanikiwa kupiga jumla ya pasi za magoli 15 katika michezo 16 msimu huu, wakati kikosi cha Chelsea kimepiga jumla ya pasi 11 za magoli msimu huu na Man United pasi 12 katika mechi 16 hizo ni jumla ya pasi za wachezaji wote. Mtu wangu wa nguvu ni halali yako kuipata hii, TOP 10 ya wachezaji wanaongoza kwa kupiga pasi za magoli msimu huu yaani assist (mchango wa mchezaji katika kusaidia ufungaji wa goli).

Capture30
Hii ndio list inayoongoza hadi sasa msimu huu kwa idadi ya mechi 16 za msimu huu pekee

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox