Vinara hao wa La Liga wamelimwa adhabu ya kutosajili na
Shirikisho la Soka Duniani-FIFA ambayo itaanza kufanya kazi baada ya
kumalizika kwa usajili wa dirisha dogo mwishoni mwa mwezi huu.
Ingawa
klabu hiyo imepanga kukata rufani lakini wanafahamu wanaweza kushindwa
hivyo inabidi wafanye itakayoweza kuwasaidia ikiwemo kumrejesha
Costa.
Nyota huyo wa kimataifa wa Hispania aliondoka Atletico kueleka
Chelsea mwaka 2014 na kufunga mabao 20 katika msimu wake wa kwanza
lakini msimu huu amekuwa akisuasua.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni