STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 8 Februari 2016

JOPO LA WACHAMBUZI LAIPA UBINGWA LEICESTER CITY, COMPUTER YAIPA ARSENAL, ANGALIA HALI ILIVYOKUWA


Leicester City lead the Premier League with Arsenal, Manchester City and Tottenham in
Jopo la wachambuzi  wa Daily Mail wamekutana na kutathimini mwenendo wa ligi kuu nchini England baada ya michezo ya mwisho wa wiki

Miongoni mwa vitu walivyoviangalia ni pamoja na timu ipi inayo nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa wa msimu huu?

Baada ya vuta ni kuvute ya muda mrefu hiki ndicho walichoamua



MSIMAMO ULIVYO KWA SASA KWENYE TOP 4

1st Leicester 53pts 2nd Tottenham 48 3rd Arsenal 48 4th Manchester City 47 

February 13-14
Arsenal vs Leicester - Draw 
Manchester City vs Tottenham - Draw


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi  
1st Leicester 54 2nd Tottenham 49 3rd Arsenal 49 4th Manchester City 48
**********************

February 27-28
Leicester vs Norwich - Leicester win 
Manchester United vs Arsenal - Arsenal loss
Tottenham vs Swansea - Spurs win 


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 57 2nd Tottenham 52 3rd Arsenal 49 4th Manchester City 48
************** 
March 1-2
Leicester vs West Brom - Leicester win 
Arsenal vs Swansea - Arsenal win
West Ham vs Tottenham - Draw 
Liverpool vs Manchester City - City win

Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 60 2nd Tottenham 53 3rd Arsenal 52 4th Manchester City 51
*******************

March 5-6
Tottenham vs Arsenal - Draw 
Manchester City vs Aston Villa - City win
Watford vs Leicester City - Draw


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi 
1st Leicester 61 2nd Tottenham 54 3rd Manchester City 54 4th Arsenal 53

****************************
March 12-14
Norwich vs Manchester City - City win 
Aston Villa vs Tottenham - Spurs win
Arsenal vs West Brom - Arsenal win 
Leicester vs Newcastle - Leicester win


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 64 2nd Tottenham 57 3rd Manchester City 57 4th Arsenal 56
*********************

March 19-20
Everton vs Arsenal - Draw 
Crystal Palace vs Leicester - Draw
Tottenham vs Bournemouth - Spurs win 
Manchester City vs Manchester United - Draw


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 65 2nd Tottenham 60 3rd Manchester City 58 4th Arsenal 57

*************************** 

April 2-3
Arsenal vs Watford - Arsenal win  
Bournemouth vs Manchester City - City win
Leicester vs Southampton - Leicester win 
Liverpool vs Tottenham - Draw


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 68 2nd Tottenham 61 3rd Manchester City 61 4th Arsenal 60
**********************

April 9/10
Manchester City vs West Brom - City win 
Sunderland vs Leicester - Leicester win
Tottenham vs Manchester United - Draw 
West Ham vs Arsenal - Draw


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 71 2nd Manchester City 64 3rd Tottenham 62 4th Arsenal 61

**************** 

April 16-17
Arsenal vs Crystal Palace - Arsenal win 
Chelsea vs Manchester City - Draw
Leicester vs West Ham - Leicester win 
Stoke vs Tottenham - Spurs win


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 74 2nd Tottenham 65 3rd Manchester City 65 4th Arsenal 64
****************

April 20
Newcastle vs Man City - City win

Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 74 2nd Manchester City 68 3rd Tottenham 65 4th Arsenal 64

************** 

April 23-24
Leicester vs Swansea - Leicester win 
Manchester City vs Stoke - City win
Sunderland vs Arsenal - Arsenal win 
Tottenham vs West Brom - Spurs win


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi  
1st Leicester 77 2nd Manchester City 71 3rd Tottenham 68 4th Arsenal 67

April 30-31
Arsenal vs Norwich - Arsenal win 
Chelsea vs Tottenham - Draw
Manchester United vs Leicester - Draw 
Southampton vs Manchester City - City win


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
1st Leicester 78 2nd Manchester City 74 3rd Arsenal 70 4th Tottenham 69
**********************

May 7-8
Leicester vs Everton - Leicester win 
Manchester City vs Arsenal - City win
Tottenham vs Southampton - Spurs win

Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi 
1st Leicester 81 2nd Manchester City 77 3rd Tottenham 72 4th Arsenal 70
***********************
May 15-16
Arsenal vs Aston Villa - Arsenal win 
Chelsea vs Leicester - Leicester win
Newcastle vs Tottenham - Spurs win 
Swansea vs Man City - City win


Baada ya hayo matokeo msimamo utakuwa hivi
FINAL 1st Leicester 84 2nd Manchester City 80 3rd Tottenham 75 4th Arsenal 73
**************

Hivi ndivyo top 4 itakavyokuwa kwa mujibu wa wachambuzi baada ya ligi kumalizika
Here's how the top four will look according to our predictions
Here's how the top four will look according to our predictions

Lakini kwa upande wa technology (Computerlized) imebashiri Arsenal kuwa mabingwa msimu huu kwa kuipa asilimia 48 ikifikisha pointi 75 mwisho wa ligi, asilimia 93.2 kubaki kwenye top 4 ata kama isipokuwa bingwa na asilimia 0.0 kwa timu hiyo kama itaweza kushuka daraja

HIVI NDIVYO MSIMAMO UTAVYOKUWA KWA MUJIBU WA COMPUTER
But what do the boffins think? The STATS computer also predicted the Premier League run-in...
Prediction of the final Premier League table this season by STATS 
Prediction of the final Premier League table this season by STATS 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox