STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 24 Februari 2016

REKODI NA TAKWIMU MBALIMBALI BAADA YA MATOKEO YA UEFA CHAMPIONSI LIGI.............

  Lewandowski (left) and Mario Mandzukic clash during the second half as Juventus tempers threaten to boil over
MWANASOKA bora wa dunia, Lionel Messi amefunga mabao yote, Barcelona ikiilaza 2-0 Arsenal katika mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu Uwanja wa Emirates London.
 Messi salutes his adoring fans after scoring from the spot

Messi amefunga mabao hayo dakika ya 71 akimalizia pasi ya Neymar wakati la pili alifunga kwa penalti dakika ya 83, baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Mathieu Flamini magoli ambayo yamemfanya kuweza kumfunga kipa wa Arsenal,Cech kwani kabla ya hapo hakuwahi mfunga lakini pia ikawa ni mara ya kwanza kwa Barcelona kuibuka na ushindi ndani ya uwanja wa Emirates.
 Arsenal manager Arsene Wenger looks on glumly during the 2-0 defeat by the reigning champions

Ushindi huo ukaifanya Barcelona kufuta rekodi ya kutokuzifunga timu za London kwa miaka 10 mara ya mwisho ilikuwa dhidi ya Chelsea baada ya kuwafunga 2-1,Staford bringe 2006 .
 Lionel Messi scored following a typical lightning counter attack with Neymar and Luis Suarez working together out wide as Barcelona's MSN trio joined forces to open the scoring - CLICK HERE for more from our brilliant Match Zone service
 Goli la kwanza la Barcelona lilivyo patikana

Arsenal sasa watalazimika kupanda mlima katika mchezo wa marudiano mwezi ujao Uwanja wa Camp Nou kwa kushinda 3-0 ili kwenda Robo Fainali.


Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza. Anayemfuata ni mchezaji mwenzake, Luis Suarez 

Kikosi cha Arsenal kilikuwa: Cech, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin/Flamini dk82, Ramsey, Oxlade-Chamberlain/Walcott dk50, Ozil, Sanchez na Giroud.

Barcelona: Ter Stegen, Dani Alves, Pique, Mascherano, Jordi Alba, Busquets, Rakitic, Iniesta, Suarez, Messi na Neymar.

                      TAKWIMU KATIKA PICHA ZENYE MAELEZO;
 
The last time Barcelona met Arsenal, Messi was in the middle and scored two. On Tuesday night he was on the right but still netted twice
 

 Lionel Messi finally scores past Petr Cech after 10 hours and 11 minutes... the Barcelona

 
 

 Our superb graphic shows how Barca stars Neymar and Suarez combined to set up Messi for the opener

  
Mchezo mwinigne wa Ligi ya Mabingwa , Bayern Munich imelazimisha sare ya 2-2 na wenyeji Juventus Uwanja wa Juve.

Kiungo wa Juventus, Paul Pogba (kushoto) akimtoka Nahodha wa Bayern Munich, Philipp Lahm

Bayern ilitangulia kwa mabao ya Thomas Muller dakika ya 43 na Arjen Robben dakika ya 55, kabla ya Paulo Dybala kuifungia Juve dakika ya 63 na Stefano Sturaro kusawazisha dakika ya 76.

Bayern sasa wanaweza kusonga mbele hata kwa sare ya 0-0 au 1-1 katika mchezo wa marudiano Ujerumani, kwani watanufaika na sharia ya mabao ya ugenini.
Lakini pia katika mchezo huo beki wa Bayern Munich,Philip Lahm aliweza kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa pili wa kijerumani kucheza  michezo 100 ya kombe la mabingwa barani Ulaya kinara ni Oliver Khan alie cheza michezo 103.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox