
Mkalimani wa klabu ya Chelsea ambae yupo klabuni Chelsea tangu alipokuwa Gianluca Vialli 1998 wakati anaifundisha Chelsea,namzungumzia Gary Staker, ameonekana katika jukwaa akifuatilia mchezo wa kirafiki kati ya Italia dhidi ya Uhispania.
Katika mchezo huo ambao timu hizo zilitoka sare ya 1-1 mkalimani huyo ambae wengi humuita shushu wa klabu hiyo alionekana akiwa amekaa karibu na familia ya kocha wa Italia,Conte kocha ambae anatanjwa kwenda kuchukua nafasi ya Hidink baada ya msimu huu.
Gary Staker
(wa pili kushoto) akiwa karibu na agenti wa Conte na kaka wa Conte Daniele
Staker worked
Antonio Conte
Jose Mourinho (katikati) akiwa na Staker (kushoto) mwaka 2004
Mwenyekiti wa zamani wa Chelsea Ken Bates akiwa na Staker 2001
Mshambuliaji wa Italia,Pierluigi Casiraghi (kushoto) akiwa na Staker Stamford Bridge 1998












Hakuna maoni:
Chapisha Maoni