Rashford mwenye umri wa miaka 18, alifunga bao
katika mechi yake ya kwanza ya kimataifa wakati Uingereza waliposhinda
mabao 2-1 dhidi ya Australia katika mchezo wa kirafiki uliofanyika
Ijumaa iliyopita.
Mshambuliaji wa Liverpool Daniel Sturridge naye pia
amejumuishwa lakini Andros Townsend wa Newcastle United na Danny
Drinkwater wa Leicester City wote wameachwa katika kikosi
hicho.
Uingereza inatarajiwa kuchuana na Ureno katika mchezo wa kujipima
nguvu kabla ya kuanza kwa michuano hiyo ambapo wanatarajiw akupambana
na Urusi Juni 11 mwaka huu.
Kikosi kamili ni
Kipa: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Southampton), Tom Heaton (Burnley).
Mabeki: Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United), John Stones (Everton), Kyle Walker (Tottenham Hotspur), Ryan Bertrand (Southampton), Danny Rose (Tottenham Hotspur), Nathaniel Clyne (Liverpool).
Viungo: Dele Alli (Tottenham Hotspur), Ross Barkley (Everton), Eric Dier (Tottenham Hotspur), Jordan Henderson (Liverpool), Adam Lallana (Liverpool), James Milner (Liverpool), Raheem Sterling (Manchester City), Jack Wilshere (Arsenal).
Washambuliaji: Wayne Rooney (Manchester United), Harry Kane (Tottenham Hotspur), Jamie Vardy (Leicester City), Daniel Sturridge (Liverpool), Marcus Rashford (Manchester United).
MARCO REUS ATEMWA KIKOSI CHA UJERUMANI.
KOCHA wa
timu ya taifa ya Ujerumani, Joachim Low amemuacha mshambuliaji wa
Borussia Dortmund Marco Reus katika kikosi chake cha mwisho cha
wachezaji 23 kwa ajili ya michuano ya Euro 2016.
Low alitangaza kikosi
chake huku mbali na kumuacha Reus lakini pia amewaacha Karim Bellarabi
na Julian Brandt wa Bayer Leverkusen na Sebastian Rudy wa
Hoffenheim.
Nyota hao wanne sasa wanatarajiwa kuondoka katika kambi ya
timu hiyo huo Uswisi.
Ujerumani itacheza mechi yake ya mwisho ya
kujipima nguvu dhidi ya Hungary kabla ya kucheza mechi yao ya ufunguzi
wa michuano ya Euro 2016 dhidi ya Ukraine.
Kikosi kamili ni
Makipa: Manuel Neuer (Bayern Munich), Bernd Leno (Bayer Leverkusen), Marc-Andre ter Stegen (Barcelona)
Mabeki: Jerome Boateng (Bayern Munich), Emre Can (Liverpool), Jonas Hector (Cologne), Benedikt Howedes (Schalke), Mats Hummels (Borussia Dortmund), Shkodran Mustafi (Valencia), Antonio Rudiger (Roma)
Viungo: Julian Draxler (Wolfsburg), Mario Gotze (Bayern Munich), Sami Khedira (Juventus), Joshua Kimmich (Bayern Munich), Toni Kroos (Real Madrid), Mesut Ozil (Arsenal), Leroy Sane (Schalke), Bastian Schweinsteiger (Manchester United), Julian Weigl (Borussia Dortmund)
Washambuliaji: Mario Gomez (Besiktas), Thomas Muller (Bayern Munich), Lukas Podolski (Galatasaray), Andre Schurrle (Wolfsburg)
SENDEROS AACHWA TIMU YA TAIFA.
BEKI wa
zamani wa Arsenal, Philippe Senderos ambaye amekuwa akihangaika kurejea
katika kiwango chake katika misimu ya karibuni, ameachwa katika kikosi
cha timu ya taifa ya Uswisi kwa ajili ya michuano ya Euro 2016.
Senderos
ambaye ametumia muda mwingi msimu uliopita akiwa na timu yake ya
nyumbani ya Grasshopper Zurich, alishindw akuonyesha uwezo wake wakati
Uswisi walipotandikwa mabao 2-1 na Ubelgiji katika mchezo wa kirafiki wa
kujipima nguvu.
Kocha wan chi hiyo Vladimir Petkovic ameamua kumuacha
beki huyo mwenye umri wa miaka 31 pamoja an wasiwasi uliopo katika safu
ya ulinzi kutokana na Timm Klose na Johan Djourou kuwa nje kutokana na
majeruhi.
Beki wa Udenese Silvan Widmer na kiungo wa basel Luca Zuffi
ambye ameonyesha uwezo mkubwa msimu huu pia wamekatwa katika kikosi
hicho.
Uswisi inatarajiw akucheza na Moldova katika mechi yake ya mwisho
ya kujipima nguvu Ijumaa hii kabla ya kuvaana na Albania, Romania na
wenyeji Ufaransa katika kundi A.
Kikosi Kamili ni
Kikosi Kamili ni
Makipa: Yann Sommer (Borussia Monchengladbach), Roman Burki (Borussia Dortmund), Marwin Hitz (Augsburg)
Mabeki: Stephan Lichtsteiner (Juventus), Nico Elvedi (Borussia Monchengladbach), Michael Lang (Basel), Johan Djourou (Hamburg), Steve von Bergen (Young Boys), Fabian Schar (Hoffenheim), Francois Moubandje (Toulouse), Ricardo Rodriguez (Wolfsburg)
Viungo: Valon Behrami (Watford), Blerim Dzemaili (Genoa), Gelson Fernandes (Rennes), Fabian Frei (Mainz), Granit Xhaka (Arsenal), Xherdan Shaqiri (Stoke City), Renato Steffen (Basel), Denis Zakaria (Young Boys)
Washambuliaji: Breel Embolo (Basel), Haris Seferovic (Eintracht Frankfurt), Admir Mehmedi (Bayer Leverkusen), Eren Derdiyok (Kasimpasa), Shani Tarashaj (Everton)
NAVAS KUIKOSA COPA
AMERICA.
GOLIKIPA wa kimataifa wa Costa Rica na klabu ya Real Madrid, Keylor
Navas anatarajiwa kuikosa michuano maalumu ya Copa Amerika kwasababu ya
majeruhi ya kisigino. Majeruhi hayo aliyopata katika mguu wake wa
kushoto yalimfanya kuukosa michezo muhimu ya Madrid mwishoni mwa msimu.
Jana Shirikisho la Soka la Costa Rica-FEDEFUTBOL, lilithibitisha taarifa
za kumuondoa nyota huyo na nafasi yake kuchukuliwa na kipa Deportivo
Saprissa Danny Carvajal. Navas anatarajiwa kutafuta mtaalamu atakayetibu
tatizo lake hilo ambalo pia lilimkosesha michuano ya michuano ya Kombe
la CONCACAF Gold mwaka jana. Kukosekana kwa Navas na mshambuliaji nyota
Ariel Rodriquez ni pigo kubwa kwa Costa Rica ambao wamepangwa katika
kundi A sambamba na Marekani, Paraguay na Colombia.
Posted by beki3 at 6:17 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to
TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
ARGENTINA YATISHIA KUJITOA COPA AMERICA.
CHAMA cha Soka cha Argentina-AFA kimetishia kujitoa katika michuano
maalumu ya Copa America baada ya kuituhumu serikali ya nchi yao kwa
kuwaingilia. Argentina ni moja ya timu zinazopewa naafsi ya kufanya
vizuri katika michuano hiyo itakayofanyika nchini Marekani huku
wakitarajiwa kucheza mechi yao ya kwanza dhidi ya mabingwa watetezi
Chile huko Santa Clara, California Juni 7 mwaka huu. Hata hivyo, AFA
wamezusha wasiwasi wa kutokuwepo kwa mchezo huo baada ya serikali ya
Argentina kusimamisha uchaguzi wa chama hicho ambao ulikuwa ufanyike
Juni 30 na kuteua tume maalumu ya kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa
mapato ya luninga. Katibu Mkuu wa AFA, Damian Dupiellet amesema mkutano
wa dharura wa bodi ndio utakaoamua kama timu yao ya taifa itashiriki
michuano hiyo au itarudishwa nyumbani kutoka katika kambi yao huko
Marekani.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
NAVAS KUIKOSA COPA AMERICA.
GOLIKIPA wa kimataifa wa
Costa Rica na klabu ya Real Madrid, Keylor Navas anatarajiwa kuikosa
michuano maalumu ya Copa Amerika kwasababu ya majeruhi ya
kisigino.
Majeruhi hayo aliyopata katika mguu wake wa kushoto yalimfanya
kuukosa michezo muhimu ya Madrid mwishoni mwa msimu.
Jana Shirikisho la
Soka la Costa Rica-FEDEFUTBOL, lilithibitisha taarifa za kumuondoa
nyota huyo na nafasi yake kuchukuliwa na kipa Deportivo Saprissa Danny
Carvajal.
Navas anatarajiwa kutafuta mtaalamu atakayetibu tatizo lake
hilo ambalo pia lilimkosesha michuano ya michuano ya Kombe la CONCACAF
Gold mwaka jana.
Kukosekana kwa Navas na mshambuliaji nyota Ariel
Rodriquez ni pigo kubwa kwa Costa Rica ambao wamepangwa katika kundi A
sambamba na Marekani, Paraguay na Colombia.
ARGENTINA YATISHIA KUJITOA COPA AMERICA.
CHAMA cha Soka cha
Argentina-AFA kimetishia kujitoa katika michuano maalumu ya Copa America
baada ya kuituhumu serikali ya nchi yao kwa kuwaingilia.
Argentina ni
moja ya timu zinazopewa naafsi ya kufanya vizuri katika michuano hiyo
itakayofanyika nchini Marekani huku wakitarajiwa kucheza mechi yao ya
kwanza dhidi ya mabingwa watetezi Chile huko Santa Clara, California
Juni 7 mwaka huu.
Hata hivyo, AFA wamezusha wasiwasi wa kutokuwepo kwa
mchezo huo baada ya serikali ya Argentina kusimamisha uchaguzi wa chama
hicho ambao ulikuwa ufanyike Juni 30 na kuteua tume maalumu ya
kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa mapato ya luninga.
Katibu Mkuu wa
AFA, Damian Dupiellet amesema mkutano wa dharura wa bodi ndio utakaoamua
kama timu yao ya taifa itashiriki michuano hiyo au itarudishwa nyumbani
kutoka katika kambi yao huko Marekani.
NAVAS KUIKOSA COPA
AMERICA.
GOLIKIPA wa kimataifa wa Costa Rica na klabu ya Real Madrid, Keylor
Navas anatarajiwa kuikosa michuano maalumu ya Copa Amerika kwasababu ya
majeruhi ya kisigino. Majeruhi hayo aliyopata katika mguu wake wa
kushoto yalimfanya kuukosa michezo muhimu ya Madrid mwishoni mwa msimu.
Jana Shirikisho la Soka la Costa Rica-FEDEFUTBOL, lilithibitisha taarifa
za kumuondoa nyota huyo na nafasi yake kuchukuliwa na kipa Deportivo
Saprissa Danny Carvajal. Navas anatarajiwa kutafuta mtaalamu atakayetibu
tatizo lake hilo ambalo pia lilimkosesha michuano ya michuano ya Kombe
la CONCACAF Gold mwaka jana. Kukosekana kwa Navas na mshambuliaji nyota
Ariel Rodriquez ni pigo kubwa kwa Costa Rica ambao wamepangwa katika
kundi A sambamba na Marekani, Paraguay na Colombia.
Posted by beki3 at 6:17 AM No comments: Email ThisBlogThis!Share to
TwitterShare to FacebookShare to Pinterest
ARGENTINA YATISHIA KUJITOA COPA AMERICA.
CHAMA cha Soka cha Argentina-AFA kimetishia kujitoa katika michuano
maalumu ya Copa America baada ya kuituhumu serikali ya nchi yao kwa
kuwaingilia. Argentina ni moja ya timu zinazopewa naafsi ya kufanya
vizuri katika michuano hiyo itakayofanyika nchini Marekani huku
wakitarajiwa kucheza mechi yao ya kwanza dhidi ya mabingwa watetezi
Chile huko Santa Clara, California Juni 7 mwaka huu. Hata hivyo, AFA
wamezusha wasiwasi wa kutokuwepo kwa mchezo huo baada ya serikali ya
Argentina kusimamisha uchaguzi wa chama hicho ambao ulikuwa ufanyike
Juni 30 na kuteua tume maalumu ya kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa
mapato ya luninga. Katibu Mkuu wa AFA, Damian Dupiellet amesema mkutano
wa dharura wa bodi ndio utakaoamua kama timu yao ya taifa itashiriki
michuano hiyo au itarudishwa nyumbani kutoka katika kambi yao huko
Marekani.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni