Usiku wa Jumamosi ya tarehe 28/5/2016 tutashuhudia fainali ya kombe la mabingwa barani Ulaya kwenye uwanja wa San Siro kati ya mabingwa mara 10 Real Madrid dhidi ya ndugu zao Atletico Madrid
Kwa maana hiyo fainali ya mwaka huu Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid ni ya nne kwenye uwanja huo.
Uwanja
huo zimechezwa fainali tatu za European Cup au Champions League ya
kwanza ikiwa 1965 kati ya Inter dhidi ya Benfica, mwaka 2000 Bayern
Munich dhidi ya Valencia na fainali ya 1970 kati ya Fenoord na Celtic.
Uwanja wa San Siro katika fainali za kombe la Dunia 1990 mchezo wa Argentina na Camerooon.
Uwanja unatumika kwa michezo ya vilabu vya AC Milan na Inter Milan.
Ufunguzi wa Uwanja huu tarehe 19/9/1926 tulishuhudia wapinzani wa jadi vilabu vinavyo shea uwanja huo wakicheza na Inter wakawafunga Rossoneri 6-3 kwenye mchezo wa kirafiki.
Uwanja ulitumika katika tamasha la kwanza la Bob Marley nchini Italy June 27, 1980.
Ambrogio Pelagalli, Nereo Rocco na
Cesare Maldini baada ya mchezo wa Milan na Inter June 1963.
Pele akiwa na Gianni Rivera baada ya mchezo wa Milan na Santos ya Brazil November 1963
Welsh striker John Charles (No 9)ndani ya San Sirona klabu ya Juventus 1960s
Mashabiki wa Inter wakishangilia ubingwa wa Serie A baada ya mchezo dhidi ya Modena uliomalizika kwa sare ya 0-0, May 1963
Beki wa kushoto wa InterGiacinto Facchetti akishangilia ubingwa 1963
Oliver Kahn kipa wa Bayern Munich waliposhinda ubingwa wa Uefa 2001 akiwa kaokoa mikwaju mitatu ya penati dhidi ya Valencia.
Jurgen Klinsmann akishangilia goli wakati West Germany walipocheza dhidi ya Holland 1990 katika kombe la Dunia
Paolo Maldini,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni