STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 2 Mei 2016

MATUKIO MUHIMU MARA BAADA YA LEICESTER KUTWAA UBINGWA WA EPL...............

Leicester City wameshinda ndoo ya Premier League na kuweka bonge la historia kwenye kwenye mchezo wa soka ya muda wote.

Sare ya bao 2-2 kati ya Chelsea vs Tottenham Jumatatu usiku, ilipeleka mafaniko makubwa kwenye kikosi cha Claudio Ranieri.

 hgmkla

Leicester ilianza msimu huu ikiwa na presha ya kunusurika kushuka daraja msimu uliopita na haikuwa ikiwaziwa kama ingeweza kuchukua ndoo katika historia ya soka la England.

Wapinzani wake wa karibu katika harakati za kuwania taji hilo Spurs, Arsenal, Manchester City, Manchester United pamoja na mabingwa watetezi Chelsea wote wamechemka kuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo kama Leicester kwenye msimu huu.

                                                   MATCH STATS

CHELSEA: Begovic 6, Ivanovic 5, Cahill 6.5, Terry 6.5, Azpilicueta 6, Mikel 6, Matic 6 (Oscar 78,), Willian 7, Fabregas 6, Pedro 5 (Hazard, 46, 7), Costa 6.

Subs not used: Baba, Traore, Kenedy, Amelia, Loftus-Cheek.
Booked: Ivanovic, Mikel, Willian 
 Cahill jumps for joy as the England and Blues centre back breathes life into Chelsea's second-half performance 
Goals: Cahill 58, Hazard 83 
Manager: Guus Hiddink  

 

TOTTENHAM: Lloris 6.5, Walker 6.5, Alderweireld 7, (Chadli 90), Vertonghen 7, Rose 7.5 (Davies 82), Dier 6.5, Dembele 6.5, Lamela 7.5, Eriksen 7.5, Son 7.5 (Mason 65, 6), Kane 8.

Subs not used: Vorm, N'Jie, Wimmer, Carroll

Booked: Walker, Vertonghen, Rose, Dier, Dembele, Mason, Eriksen, Lamela, Kane 
 Son looks to the skies as his strike secures a precious two-goal cushion for the Premier League title chasers 
Goals: Kane 35, Son 44 
Manager: Mauricio Pochettino

 Kane celebrates in front of the jubilant Spurs supporters as his first-half opener turns the contest and the title race on its head 
Referee: Mark Clattenburg
Attendance: 41,545

Leicester City sit proudly at the summit of the Premier League standings 

 

  PICHA ZA MATUKIO BAADA YA LEICESTER KUTWAA UBINGWA


Baada ya klabu ya Leicester City kutangaza Ubingwa kufuatia sare ya goli 2-2 waliotoka Tottenham Hotspurs dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge, wachezaji wa Leicester City kwa pamoja walikusanyika katika nyumba ya Jamie Vardy ambaye ni mchezaji mwenzao wa timu hiyo na kuanza kusherekea
.
33BFB5EA00000578-3569871-image-a-36_1462216096942
Kiungo wa Leicester Matty James (katikati) akiwa ndani ya gari na King na Drinkwater 

Nyota karibia wote wa Leicester City waliwasili kwa Vardy huku baadhi ya mashabiki wakiishia kuzunguuka nyumba ya Vardy na kushangazwa na wachezaji hao wa Leicester City ambao wametwaa Ubingwa mbele ya timu vigogo kama Chelsea, Man United Arsenal na nyinginezo.

33BF72EF00000578-3569871-image-a-1_1462213625589
Christian Fuchs (kushoto) na Robert Huth wakiwasili kwa Jamie Vardy Melton Mowbray
33BF947700000578-3569871-image-a-21_1462214496996
Shinji Okazaki (kushoto) na Gorkan Inle
33BFA13F00000578-3569871-image-a-22_1462214837572
Liam Moore (anayeendesha) na Jeff Schlupp wakiwasili nyumbani kwa Vardy huku mashabiki wao wakiwapiga picha
33BFA3A100000578-3569871-image-a-23_1462214987938
Nahodha wao Wes Morgan akiwasili pekee yake kwenye gari
33C08E6C00000578-3569871-image-m-44_1462227294871
33BFACBA00000578-3569871-image-a-24_1462215515307
33BFB24000000578-3569871-image-a-33_1462215809214
33C0756600000578-3569871-image-a-79_1462225848598
33C063A500000578-3569871-image-a-61_1462225499863 
                Mashabiki wa Chelsea wakiwa na mabango kishiria cha kuwa pamoja na Ranieri kocha ambae alisha ifundisha Chelsea.
 

               MATUKIO MENGINE ;
Pochettino sprung from the technical area to come between Danny Rose and Willian in the first half
Pochettino akiwaamulia Danny Rose na  Willian walipokuwa wanataka pigana kipindi cha kwanza cha mchezo

Hiddink's legs fly in the air as he rolls backwards and the drinks carrier tries to help himKocha wa Chelsea,Hiddink akiwa ameanguka mpaka katika siti za washabiki baada ya kusukumwa na moja ya wachezaji wa Spurs, Danny Rose mara baada ya kumalizika kwa mchezo huo
 
Chelsea boss Guus Hiddink tumbles down stairs during shoving match between players and

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox