Kwa mujibu wa mtandao wa klabu hiyo, kikosi hicho cha Mbeya City kinatarajia kufanya ziara hiyo ambapo itacheza mechi tatu za kirafiki za kimataifa ili kuwapa uzoefu nyota wao kabla ligi haijaanza baadaye mwaka huu.
Kwenye ratiba hiyo, City itaanza kushuka kwenye Uwanja wa Kamuzu, jijini Blantyre Juni 18 kwa kucheza na vigogo wa soka Malawi, Big Bullets.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni