TAZAMA 'MKOKO' ALIOJIZAWADIA ULIMWENGU KUMBUKUMBU YA KUZALIWA
MSHAMBULIAJI wa TP Mazembe ya DRC na Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Thomas Ulimwengu, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa jijini Lubumbashi.
Baada ya matibabu amejiunga na wenzake jioni hii kwa ajili ya mchezo dhidi ya SM Sanga Balende hapo kesho kwenye uwanja wa TP Mazembe.
PICHA NA BOIPLUS
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni