Video hiyo iliyonaswa wakati wa mchezo wa michuano ya
Ulaya dhidi ya Ukraine, ilisambazwa katika mitandao ya
kijamii.
Akihojiwa kocha huyo mwenye umri wa miaka 56, ilikuwa katika
hali ya shinikizo kutokana na mchezo ulivyokuwa ukiendelea hata hivyo
atajaribu kubadilika siku zijazo.
Low aliendelea kudai kuwa ameoziona
picha hizo za video na muda mwingine mtu anaweza kufanya jambo bila
kujijua hivyo anaomba radhi.
TIZAMA VIDEO HIZI KATIKA MATUKIO HAYO;
VIDEO YA PILI
Mshambuliaji wa Ujerumani Lukas Podolki pia
alimtetea kocha huyo na kudai kuwa tukio hilo halijaathiri chochote
kambi yao.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni