Kikosi
cha Simba chini ya Joseph Omog kimeendelea kujipima nguvu baada ya
kuitwanga Moro Kids kwa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa
mjini Morogoro jana.
Mabao
ya Simba yalifungwa na Ibrahim Ajib na Danny Lyanga na kuifanya Simba
kuandika rekodi ya kushinda mechi mbili za kirafiki mfululizo.
Hii ni mechi ya pili baada ya ile ya kwanza dhidi ya Polisi Moro ambayo Simba ilishinda kwa mabao 6-0.
Hata hivyo, Moro Kids nao walionyesha soka safi na kuwalazimisha mabeki wa Simba kulazimika kufanya kazi ya ziada, mara kadhaa.
Kikosi cha Simba
Peter Manyika/ Vincent Angban
Besala Bukungu/Hamad Juma (dk 45)
Method Mwanjali
Noavty Lufunga/ Emmanuel Semwanza (dk 45)
Mohammed Hussein ‘Tshabalala’/ Abdi Banda (dk 68)
Jonas Mkude/ Said Ndemla (dk 71)
Shiza Kichuya/ Peter Mwalyanzi (dk 79)
Mzamilu Yasin
Diawuo Johnson/ Musa Ndusha (dk 45)/ Awadh Juma (dk 85)
Ibrahim Ajib/ Danny Lyanga (dk 58)
Jamal Mnyate/ Mohammed Ibrahim (dk 45)
Kikosi cha Moro Kids
Abuu Mshery
Said Hassan
Kulwa Omary
Jamal Masenga
Mohammed Katoto
Ombeni Francis
Omary Abdallah
Offein Francis
Sumar Ismail
Majuto Hamisi
Diego
Sub
Mussa Kibwana
Masumbuko Juma
Gira Mng’ong’o
Richard Mvumba
John Chogelo
Moze Kachonga
Baraka Malila
Agrey Deo
Jojo Mkele
Salmini
PICHA MBALIMBALI KATIKA MCHEZO;
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni