STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 19 Agosti 2016

ORODHA YA MAKOCHA WANAOCHUKUA MKWANJA MREFU ZAIDI DUNIANI...........

 Money, Dollar, Us-Dollar, Usa, Funds, Currency, Finance

TOP 10 ya makocha wanaoongoza kwa kulipwa mshahara mikubwa katika soka, katika list hii namba moja na mbili zimechukuliwa na makocha wanaofundisha vilabu vinavyotolea jiji moja la Manchester.

 Money, Finance, Wealth, Currency, Dollar, Briefcase

10. Rafael Benitez – Newcastle United ($5.8 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 12 kwa mwaka)
Rafael-Ben-tez-009-1024x614

9. Mauricio Pochettino – Tottenham Hotspur ($7.1 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 15 kwa mwaka)

cropped_4595872-1024x773

8. Antonio Conte – Chelsea ($8.4 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 18 kwa mwaka)

Antonio-Conte-Italy-2-1024x661-1024x661

7. Luis Enrique – Barcelona ($9 million aambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 19 kwa mwaka)

GettyImages-483664730.0-1024x682

6. Jurgen Klopp – Liverpool ($9 million ambazo ni zaidi ya Tsh 19 bilioni kwa mwaka)

1742679-1024x599

5. Zinedine Zidane – Real Madrid ($10 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 21 kwa mwaka)

GettyImages-505388062.0-1024x682

4. Arsene Wenger – Arsenal ($10.7 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 37 kwa mwaka)

Arsene-Wenger-v-Huddersfield-Jan-2011_2557362

3. Carlo Ancelotti – Bayern Munich ($11.6 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 25 kwa mwaka)

GettyImages-471535370-1024x683

2. Jose Mourinho – Manchester United ($17.7 million ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni  38 kwa mwaka

jose-mourinho-1024x683

1. Pep Guardiola – Manchester City ($19.4 million aambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 42 kwa mwaka)

manchester-city-pep-guardiola-1024x576

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox