MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta atakutana na Lokomotiva Zagreb ya Croatia katika hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania hatua ya makundi ya Europa League.
Droo ya Shirikisho la Soka Ulaya (UEFA) iliyopangwa leo mjini Nyon, Uswisi KRC Genk ya Ubelgiji itamenyana na Lokomotiva Zagreb ya Croatia.
Mechi ya kwanza itachezwa Alhamisi Agosti 18 mjini Zagreb na marudiano yatakuwa Alhamisi ya Agosti 25 Uwanja wa Luminus Arena, Genk.
Samatta na Genk wakifuzu mtihani huo, wataingia moja kwa moja kwenye hatua ya makundi, ambako vigogo mbalimbali wa Ulaya huanzia hatua hiyo.
Samatta usiku wa jana alicheza vizuri Uwanja wa Turner's Cross, mjini Cork, Ireland na kuiwezesha KRC Genk kushinda 2-1 ugenini dhidi ya Cork City FC ya Ireland.
Na Genk inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1, baada ya wiki iliyopita kushinda 1-0 mjini Genk.
Mabao ya Genk jana yalifungwa na Thomas Buffel dakika ya 12 na Sebastien Dewaest dakika ya 41, wakati la wenyeji lilifungwa na Alan Bennett dakika ya 63.
Na Samatta aliyewekewa ulinzi mkali na mabeki wa Cork City FC, alicheza kwa dakika 77 kabla ya kumpisha Bryan Heynen kumalizia mechi hiyo.
MICHEZO MINGINE;
Astana (KAZ) v BATE Borisov (BLR)
AEK Larnaca (CYP) v Slovan Liberec (CZE)
Arouca (POR) v Olympiacos (GRE)
Dinamo Tbilisi (GEO) v PAOK (GRE)
Midtjylland (DEN) v Osmanlıspor (TUR)
Austria Wien (AUT) v Rosenborg (NOR)
Trenčín (SVK) v Rapid Wien (AUT)
Beitar Jerusalem (ISR) v Saint-Étienne (FRA)
Lokomotiva Zagreb (CRO) v Genk (BEL)
Vojvodina (SRB) v AZ Alkmaar (NED)
Maribor (SVN) v Qäbälä (AZE)
Gent (BEL) v Shkëndija (MKD)
Slavia Praha (CZE) v Anderlecht (BEL)
İstanbul Başakşehir (TUR) v Shakhtar Donetsk (UKR)
Astra Giurgiu (ROU) v West Ham United (ENG)
SønderjyskE (DEN) v Sparta Praha (CZE)
Fenerbahçe (TUR) v Grasshoppers (SUI)
Sassuolo (ITA) v Crvena zvezda (SRB)
Brøndby (DEN) v Panathinaikos (GRE)
IFK Göteborg (SWE) v Qarabağ (AZE)
Krasnodar (RUS) v Partizani Tirana (ALB)
Maccabi Tel-Aviv (ISR) v Hajduk Split (CRO)
group stage: Schalke (GER), Zenit (RUS), Manchester United (ENG) Athletic Club (ESP), Internazionale Milano (ITA), Fiorentina (ITA), Braga (POR), Standard Liège (BEL), Celta Vigo (ESP), Feyenoord (NED), Mainz (GER), FC Zürich (SUI), Southampton (ENG), Nice (FRA), Zorya Luhansk (UKR), Konyaspor (TUR)
KUWANIA KUFUZU HATUA YA MAKUNDI A KOMBE LA MABINGWA BARANI ULAYA;
Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA leo August 5 2016 limechezesha droo ya mechi za play off kwa ajili ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.
UEFA limechezesha droo ya mechi za play offs kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, mechi za kwanza zitachezwa August 16/17 na marudiano itakuwa August 23/24.
League route
Steaua București (ROU) v Manchester City (ENG) – 16 & 24 August
Porto (POR) v Roma (ITA) – 17 & 23 August
Ajax (NED) v Rostov (RUS) – 16 & 24 August
Young Boys (SUI) v Borussia Mönchengladbach (GER) – 16 & 24 August
Villarreal (ESP) v Monaco (FRA) – 17 & 23 August
Champions route
Ludogorets Razgrad (BUL) v Viktoria Plzeň (CZE) – 17 & 23 August
Celtic (SCO) v Hapoel Beer-Sheva (ISR) – 17 & 23 August
FC København (DEN) v APOEL (CYP) – 16 & 24 August
Dundalk (IRL) v Legia Warszawa (POL) – 17 & 23 August
Dinamo Zagreb (CRO) v Salzburg (AUT) – 16 & 24 August
• Timu itakayo fungwa itashiriki UEFA Europa League hatua ya makundi.
group stage draw (Monaco, 25 August):
Pot 1: Real Madrid (ESP, holders), Barcelona (ESP), Leicester City (ENG), Bayern München (GER), Juventus (ITA), Benfica (POR), Paris Saint-Germain (FRA), CSKA Moskva (RUS)
Other pots: Atlético Madrid (ESP), Borussia Dortmund (GER), Arsenal (ENG), Sevilla (ESP), Napoli (ITA), Bayer Leverkusen (GER), Basel (SUI), Tottenham Hotspur (ENG), Dynamo Kyiv (UKR), Lyon (FRA), PSV Eindhoven (NED), Sporting CP (POR), Club Brugge (BEL), Beşiktaş (TUR)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni