STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 21 Septemba 2016

RATIBA RAUNDI YA NNE EFL YATOKA,MOURINHO KATIKA WKATI MGUMU,CONTE NA KLOPP PIA WAO WAJIPANGE............

Baada ya klabu ya Manchester United inayofundishwa na kocha raia wa Urenokufungwa mechi zake tatu mfululizo, usiku wa Septemba 21 2016 Man United walishuka tena dimbani kucheza mchezo wao wa EFL dhidi ya Northampton.
3608
Katika mchezo huo ambao mashabiki wa Man United walikuwa na presha kubwa kama ambavyo Jose Mourinho alikasirishwa na kuwanyima mapumziko wachezaji wake, walifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-1 wakiwa ugenini.











Man United ndio walianza kupata goli dakika ya 17 kupitia kwa Michael Carrick lakini lilisawazishwa dakika ya 42 na Alex Revell, kipindi cha pili Man United walikuja na kumiliki mpira kwa kiasi kikubwa kitu ambacho kilifanya wapate goli la pili dakika ya 68 kupitia kwa Ander Herrera na Marcus Rashford akahitimisha kwa kufunga goli la tatu dakika ya 75.
Matokeo ya mechi za EFL zilizochezwa Septemba 21 2016
RATIBA RAUNDI YA NNE;



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox