TAKWIMU- REKODI YA MAGOLI YA MESSI KWENYE KILA HATUA YA CHAMPIONS LEAGUE BAADA YA KUFUNGA HAT-TRICK JANA;
TWEETS- BAADA YA MESSI KUPIGA HAT-TRICK JANA;
Lionel Messi jana ampepiga hat-trick kwenye ushindi wa magoli 7 Barcelona ikiifumua Celtic ya Scotland.
Magoli
mengine yalifungwa na Suarez (2), Neymar na Iniesta.
Magoli hayo
yamemfanya kufunga hat-trick ya sita katika kwenye Champions League
tangu aanze kucheza soka.
TWEETS- WALE WOTE WALIOMPONDA WENGER KUMCHEZESHA OSPINA JANA DHIDI YA PSG WALICHOANDIKA BAADA YA MECHI;
David
Ospina jana alikuwa mtu mwingine kabisa. Aliiokoa Arsenal kupoteza
mchezo kwa asilimia 100 baada ya kuokoa hatari za waziwazi kabisa
ziliokuwa zikipelekwa na PSG.
Kama
si ubora wa Ospina basi Arsenal jana wangeweza kufungwa hata magoli
manne na PSG, lakini uamkini wa hali ya juu wa mlinda lango huyo wa
kimataifa wa Colombia ndiyo ulikuwa chachu ya sare ya bao 1-1 kati ya
Arsenal na PSG.
Kabla
ya mechi watu waliponda sana maamuzi ya Wenger kumuanzisha Ospina
badala ya Petr Cech, lakini baada ya mechi wote walibadilika
Soma comments za watu hapo chini baada ya mchezo huo uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Parc des Princess.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni