STORI YA KWANZA;
Yaya Toure ameachwa katika kikosi cha Manchester City kitakachoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
Ikumbukwe
kuwa Toure alishawahi kuwa chini ya Guardiola wakati yupo Barcelona na
kupata wakati mgumu kabla ya kuamua kuondoka na kuhamia Manchester City.
Tayari
Guardiola ameshawatoa kwa mkopo Joe Hart, Samir Nasri, Wilfried Bony na
Eliaquim Mangala na kuleta mtikisiko kwenye klabu hiyo yenye maskani
yake kwenye dimba la Etihad.
Toure amebakia klabuni hapo baada ya dirisha la usajili kufungwa juzi usiku.
Toure
(33) alicheza dakika zote tisini kwenye mchezo wa raundi ya pili wa
kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Steaua
Bucharest, lakini jina lake halijajumuishwa kwenye kikosi hicho
kinachoundwa na wachezaji 21.
Wachezaji
wapya kama Claudio Bravo, John Stones, Ilkay Gundogan, Leroy Sane na
Nolito wote wamejumuishwa kwenye kikosi hicho ambacho kitavaana na
Barcelona, Borussia Monchengladbach na Celtic kwenye Kundi C.
STORI YA PILI;
Mchezaji
Bastian Schweinsteiger amejumuishwa kwenye kikosi cha mwisho cha klabu
ya Manchester United ambacho kitashiriki ligi kuu ya Uingereza chenye
wachezaji 25.
Bastian
amekuwa katika msuguano na kocha wake Jose Mourinho ambaye tangu
anafika labuni hapo alionekana kutokumkubali na kuwa hakuwa akiendana na
ahitaji yake ndani yaklabu hiyo.
Mourinho
alienda mbali zaidi na kumruhusu mchezaji huyo kuweza kuondoka katika
klabu hiyo ya jijini Manchester. Hata hivyo Bastian aligoma kwa maana ya
kuwa asingeweza kuchezea klabu yoyote tofauti na Manchester kwa Ulaya.
Akaweka bayana kuwa baada ya Bayern Munich, klabu ya mwisho ilikuwa
Manchester United.
Wiki
iliyopita Jose Mourinho alisema kuwa “ni vigumu sana kwa Bastian
kucheza chini ya yangu na kwenye kikosi changu, lakini haina maana kuwa
haiwezekani.”
Katika
siku za mwanzo za maisha ya Mourinho pale Carrington, Bastian
Schweinsteiger alitakiwa kufanya mazoezi na timu ya wachezaji wa akiba
pamoja na vijana. Jambo hili lilizua maswali pamoja na kupelekea
Mourinho kukosolewa kwa kiasi kikubwa hasa na wadau wa soka la
Ujerumani.
Siku
ya juzi, Bastian alicheza mchezo wkae wa mwisho na kugawa kwa hisia
kali na wachezaji na mashabiki wa timu ya Taifa ya Ujerumani. Katika
mchezo huo dhidi ya Finland uliofanyika Monchengledbach, Bastian
alishindwa kujizuia kutokwa na machozi huku akishuhudia uwanja mzima
ukipiga makofi kwake wakati anafanyiwa mabadiliko.
Bastian
amechezea timu ya taifa michezo 121 huku pia akiwa amefunga mabao 24.
Mchezo wake wa kwanza na timu hiyo ulikuwa miaka 12 iliyopita, mwaka
2004.
Full squad: Eric
Bailly, Daley Blind, Michael Carrick, Matteo Darmian, David De Gea,
Memphis Depay, Sadiq El-Fitouri, Marouane Fellaini, Ander Herrera,
Zlatan Ibrahimovic, Sam Johsntone, Phil Jones, Jesse Lingard, Juan Mata,
Henrikh Mkhitaryan, Paul Pogba, Marcos Rojo, Sergio Romero, Wayne
Rooney, Morgan Schneiderlin, Bastian Schweinsteiger, Chris Smalling,
Antonio Valencia, Ashley Young.
Under-21 players: Timothy Fosu-Mensah, Anthony Martial, Marcus Rashford, Luke Shaw
Mchezaji
Bastian Schweinsteiger amejumuishwa kwenye kikosi cha mwisho cha klabu
ya Manchester United ambacho kitashiriki ligi kuu ya Uingereza chenye
wachezaji 25.
Bastian
amekuwa katika msuguano na kocha wake Jose Mourinho ambaye tangu
anafika labuni hapo alionekana kutokumkubali na kuwa hakuwa akiendana na
ahitaji yake ndani yaklabu hiyo.
Mourinho
alienda mbali zaidi na kumruhusu mchezaji huyo kuweza kuondoka katika
klabu hiyo ya jijini Manchester. Hata hivyo Bastian aligoma kwa maana ya
kuwa asingeweza kuchezea klabu yoyote tofauti na Manchester kwa Ulaya.
Akaweka bayana kuwa baada ya Bayern Munich, klabu ya mwisho ilikuwa
Manchester United.
Wiki
iliyopita Jose Mourinho alisema kuwa “ni vigumu sana kwa Bastian
kucheza chini ya yangu na kwenye kikosi changu, lakini haina maana kuwa
haiwezekani.”
Katika
siku za mwanzo za maisha ya Mourinho pale Carrington, Bastian
Schweinsteiger alitakiwa kufanya mazoezi na timu ya wachezaji wa akiba
pamoja na vijana. Jambo hili lilizua maswali pamoja na kupelekea
Mourinho kukosolewa kwa kiasi kikubwa hasa na wadau wa soka la
Ujerumani.
Siku
ya juzi, Bastian alicheza mchezo wkae wa mwisho na kugawa kwa hisia
kali na wachezaji na mashabiki wa timu ya Taifa ya Ujerumani. Katika
mchezo huo dhidi ya Finland uliofanyika Monchengledbach, Bastian
alishindwa kujizuia kutokwa na machozi huku akishuhudia uwanja mzima
ukipiga makofi kwake wakati anafanyiwa mabadiliko.
Bastian
amechezea timu ya taifa michezo 121 huku pia akiwa amefunga mabao 24.
Mchezo wake wa kwanza na timu hiyo ulikuwa miaka 12 iliyopita, mwaka
2004.
- See more at: http://www.barakampenja.com/2016/09/mourinho-amrejesha-schweisteiger.html#sthash.2sZfAR9N.dpuf
Yaya Toure ameachwa katika kikosi cha Manchester City kitakachoshiriki Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
Ikumbukwe
kuwa Toure alishawahi kuwa chini ya Guardiola wakati yupo Barcelona na
kupata wakati mgumu kabla ya kuamua kuondoka na kuhamia Manchester City.
Tayari
Guardiola ameshawatoa kwa mkopo Joe Hart, Samir Nasri, Wilfried Bony na
Eliaquim Mangala na kuleta mtikisiko kwenye klabu hiyo yenye maskani
yake kwenye dimba la Etihad.
Toure amebakia klabuni hapo baada ya dirisha la usajili kufungwa juzi usiku.
Toure
(33) alicheza dakika zote tisini kwenye mchezo wa raundi ya pili wa
kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Steaua
Bucharest, lakini jina lake halijajumuishwa kwenye kikosi hicho
kinachoundwa na wachezaji 21.
Wachezaji
wapya kama Claudio Bravo, John Stones, Ilkay Gundogan, Leroy Sane na
Nolito wote wamejumuishwa kwenye kikosi hicho ambacho kitavaana na
Barcelona, Borussia Monchengladbach na Celtic kwenye Kundi C.
- See more at: http://www.barakampenja.com/2016/09/yaya-toure-nje-kikosi-cha-man-city-cha.html#sthash.9tJFWS9x.dpuf

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni