
Hii ni barua ya aliyekuwa Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF, Jamal Malinzi kwa wanafamilia ya soka nchini Tanzania.
Barua hiyo imeandikwa na mwanasheria wake kutokana na yeye kuwa mahabusu hadi leo akisubiri hatma ya kesi yake juu ya tuhuma za kufoji nyaraka na utakatishaji pesa


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni