Everton ambao wamewasili leowametaja majina ya wachezaji 25 wanaokuja Tanzania.

Katika List ya majina ya wachezaji wa Everton wanaokuja Tanzania yupo na nahodha wa zamani wa Man United Wayne Rooney ambaye amesajiliwa na Everton ambayo ni timu yake ya utotoni na yumo katika list ya wachezaji 25, sasa ni rasmi tutamuona Rooney kwa mara ya kwanza akikanyaga ardhi ya Tanzania.
Everton atacheza game ya kirafiki na Gor Mahia ya Kenya saa 17:00 kwa saa za Afrika Mashariki siku ya Alhamisi ya July 13 uwanja wa Taifa Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya timu ya Everton katika msimu ujao wa Ligi Kuu England.
WACHEZAJI 25 WA EVERTON WANAOKUJA BONGO
1-Maarten Stekelenburg
2- Mateusz Hewelt
3- Chris Renshaw
4- Tom Davies
5- Phil Jagielka
6- Ashley Williams
7- Callum Connolly
8- Jonjoe Kenny
9- Michael Keane
10- Muhamed Besic
11- Leighton Baines,
12- Morgan Schneiderlin
13- James McCarthy
14- Davy Klaassen
15- Gareth Barry
16- Idrissa Gana Gueye
17- Joe Williams
18- Kieran Dowell
19- Kevin Mirallas
20- Wayne Rooney
21- Aaron Lennon
22- Dominic Calvert-Lewin
23- Ademola Lookman
24- Matthew Pennington
25- Yannick Bolasie.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni