STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 18 Januari 2018

BREAKING NEWS: HUYU HAPA KOCHA MPYA WA SIMBA SC, ALIYEIPA UBINGWA WA AFRIKA CAMEROON 2000


Tokeo la picha la Pierre Lechantre
Simba Sports Club
Dar es salaam
18/01/2018. 

TAARIFA KWA UMMA
Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kuwajulisha Wanachama na washabiki wake kwamba imempata kocha wake mkuu mpya,Mfaransa Pierre Lechantre.


Kocha huyo mzoefu ataanza kazi mara moja na atasaidiwa na kocha msaidizi wa sasa Masoud Djuma ambae alikuwa akikaimu nafasi hiyo, Kocha Lichantre keshawahi kufundisha vilabu kadhaa duniani kikiwemo kikosi cha Timu ya Taifa ya Cameroun kilichotwaa ubingwa wa Africa 2000.
Kocha huyo pia alipata kuwa kocha bora wa Afrika mwaka 2001 na pia barani Asia mwaka 2012, Lechantre amekuja pia na kocha wa viungo Mmorocco Mohammed Aymen Hbibi
Leo jioni kocha Lechantre ataishuhudia Simba ikicheza na Singida United kwenye Uwanja wa Taifa.
IMETOLEWA NA
HAJI S MANARA
MKUU WA HABARI SIMBA SC
SIMBA SC NGUVU MOJA

Maoni 1 :

  1. Borgata Hotel Casino & Spa - JTG Hub
    Borgata 구리 출장샵 Hotel Casino & Spa. Atlantic City, New Jersey, United States. 나주 출장안마 Map This room 문경 출장샵 has a spacious seating area. 제주도 출장샵 Located 포항 출장샵 at the casino.

    JibuFuta

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox