STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 28 Agosti 2015

MEMPHIS DEPAY AKIWA KITAA FULU BATA NA MNDINGA WAKE...............

Winga wa klabu ya Manchester United ya Uingereza Memphis Depay ambaye amesajiliwa katika kipindi hiki cha usajili akitokea klabu ya PSV Eindhoven ya Uholanzi, August 28 amenaswa na Camera za mapaparazi akikatisha mitaa ya jiji la Manchester na gari lake la kifahari la Mercedes GLA 45 AMG.

2BBCD27C00000578-0-image-a-1_1440767501556

Depay ambaye ana muda mchache toka ameanza kuishi katika jiji la Manchester ameonekana akiwa mwenye furaha wakati akifanya Shopping katika jiji hilo. 

2BBC699500000578-0-image-a-2_1440767507083

Winga huyo aliyeanza vizuri katika klabu ya Man United kwa kuifungia magoli katika mchezo wa kwanza wa mtoano wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Club Bruges anaonyesha kuzoea maisha ya Manchester.


2BBC5F3600000578-3214259-The_Holland_international_has_had_no_problem_settling_into_life_-a-3_1440775878965
2BBC61F400000578-0-image-a-7_1440767529034

2BBC411000000578-0-image-a-8_1440767537093

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox