Kocha
mstaafu wa Manchester United Sir Alex Ferguson katika kitabu chake
kipya cha hivi sasa, amewataja wachezaji wanne wa kiwango cha dunia
kuwahi kuwafundisha.
Alex
Ferguson amemtaja Cristiano Ronaldo kuwa ndiye mchezaji bora zaidi
kuwahi kumfundisha huku akiwaongeza Erick Cantona, Ryan Giggs na Paul
Scholes kama wachezaji wake bora wa kiwango cha dunia.
Alex
anasema, “katika kitabu changu kuna wachezaji wawili tu wa kiwango cha
dunia ambao bado wanacheza hadi sasa, Ronaldo na Messi”.
Lakini
Fergie anasema aliowataja, wamethibitisha ubora wao huku akimwagia sifa
Ryan Giggs kwamba atakuja kuwa ni kocha mkubwa na mafanikio mengi siku
moja.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni