STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 4 Septemba 2015

JIKUMBUSHE ADHABU ALIOWAHI KUPEWA GOLIKIPA DAVID JAMES............




article-1085467-02760DA7000005DC-631_468x302












Katika mpira wa miguu kocha ni kama baba katika timu anapaswa kusikilizwa.

Hii ni stori ya nyuma kidogo iliwahi kuandikwa mwezi August mwaka 2013 na mtandao wa tsmplug.com, kocha wa zamani wa klabu ya Portsmouth ya Uingereza Tony Adams, aliwahi kumpa adhabu golikipa wa timu hiyo David James ya kuendesha gari ya matairi matatu kwa sababu hakuwa akifanya vizuri mazoezini.
article-1085467-02760891000005DC-480_468x265
Hapa ilikuwa kabla ya David James kulifanyia matengenezo

Baada ya kumpa adhabu hiyo, James alikubali kuitumia gari hiyo ya matairi matatu cha kushangaza baada ya kuondoka nayo akaenda kuifanyia matengenezo na kuifanya iwe ya matairi matano licha ya kuwa Tony Adams alimpa gari hiyo kama adhabu kwake.

a
Baada ya kulifanyia matengenezo

David-James-Robin-Reliant1-500x678

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox