STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 2 Septemba 2015

MUONEKANO WA DAKTARI MREMBO ANAYETARAJIA KUCHUKUA NAFASI YA DAKTARI WA CHELSEA EVA....


Viktoriya Gameeva anaelezwa kuwa daktari mpya wa Chelsea atachukua nafasi ya yule Eva Carnero.

Gameeva ni daktari wa Spartak Moscow' ya Urusi na inaelezwa kufanya mazungumzo na uongozi wa Chelsea.



Ingawa Chelsea haijatangaza rasmi lakini mwenyewe ametupia picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa amevaa jezi ya Chelsea hali ambayo inaongez asilimia kwamba anatua darajani kuchukua nafasi ya Carneiro kama ambavyo imekuwa ikielezwa.


Gameeva  akiwa fukwe na pozi la msamba



Gameeva akiwa katika pozi pembezoni mwa bwawa la kuogelea

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox