STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 10 Novemba 2015

ROONEY ATIMBA KWENYE MIELEKA NA KUMZABA KIBAO BARRETT,TIZAMA VIDEO NA PICHA ZA TUKIO ZIMA..........

                  
Shouting match: Rooney points his finger at Barrett and fellow WWE star Sheamus, right, who was part of the skit


          Barrett akimfuata Rooney katika upande wa kushoto wa jukwaa


Slap attack: Rooney responds to being goaded by slapping Barrett, as son Kai watches on (centre) and fans cheer


Rooney alimzaba kibao bingwa huyo Barrett na kuamsha shangwe toka kwa mashabiki baada ya kukerwa na maneno ya dharau aliyokuwa akiporomoshewa hasa baada ya kudaiwa kuwa msimu uliopita alijiangusha ili apewe penati katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Preston North End ambayo Barret ni shabiki wake namba moja.

 Rooney alifika katika ukumbi huo akiwa na Ryan Giggs,Darren Fletcher na mwanae Kai ndipo Barret alipokamata kipaza sauti na kusema ukumbini kulikuwa na wanaume wawili mabingwa kuliko Rooney na Manchester United na kuamsha hasira za mshambuliaji huko wa England.


                  TIZAMA VIDEO YA ROONEY AKIMPIGA KIBAO WADE BARETTI
ROONEY MMH NOMA AMZABA KIBAO BINGWA WA MIELEKA KAMA MWANAE VILE Manchester,England. Wayne Rooney ni ameonyesha kuwa yeye ni mbabe kweli kweli baada ya jana jumatatu usiku kumzaba kibao bingwa wa mieleka Wade Barret mbele ya mashabiki lukuki katika ukumbi wa Manchester Arena. Rooney alimzaba kibao bingwa huyo na kuamsha shangwe toka kwa mashabiki baada ya kukerwa na maneno ya dharau aliyokuwa akiporomoshewa hasa baada ya kudaiwa kuwa msimu uliopita alijiangusha ili apewe penati katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Preston North End ambayo Barret ni shabiki wake namba moja. Rooney alifika katika ukumbi huo aliwa na nyota wenzie Ryan Giggs,Darren Fletcher na mwanae Kai ndipo Barret alipokamata kipaza sauti na kusema huo ukumbini kulikuwa na wanaume wawili mabingwa kuliko Rooney na Manchester United na kuamsha hasira za mshambuliaji huko wa England. PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO Shouting match: Rooney points his finger at Barrett and fellow WWE star Sheamus, right, who was part of the skit Slap attack: Rooney responds to being goaded by slapping Barrett, as son Kai watches on (centre) and fans cheer

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox