STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 9 Novemba 2015

VAN GAAL HAJARIDHISHWA NA KASI YA MAWINGA WAKE SASA KUINGIA SOKONI KUWASAKA NYOTA HAWA............

Presha ya mechi za Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016 imefanya vilabu kadhaa kuanza kuingia katika mipango ya kufanya usajili wa wachezaji licha ya kuwa dirisha dogo la usajili bado halijafunguliwa. Klabu yenye presha kuliko zote ni klabu ya Chelsea ila klabu ya Manchester United ikiwa chini ya Louis van Gaal imeshaanza kuhusishwa na mastaa watano tofauti.

Kocha wa Man United Louis van Gaal ambaye anataka timu yake ifanye mashambulizi kwa kasi na kuongeza idadi ya magoli, Van Gaal ameongea kauli kuhusu mwenendo wa kikosi chake na kukiri kuwa bado kikosi chake hakina kasi anayoitaka na kuwatolea mifano Juan Mata na Jesse Lingard.

Manchester-United-v-West-Brom
“Nilishazungumza mara kadhaa katika mwaka wangu wa kwanza nikijiunga na Man United kuwa nahitaji kikosi kicheze kwa kasi na ubunifu katika nafasi za winga, umeona kwa sasa tunacheza na  Jesse Lingard lakini sio miongoni mwa mawinga wenye kasi zaidi duniani lakini pia Juan Mata” >>> Louis van Gaal

Hata hivyo stori kutoka mtandao wa mirror.co.uk umetaja majina matano ya wachezaji ambao huenda wakasajiliwa na Man United, miongoni mwa majina hayo yanayotajwa kusajiliwa katika dirisha dogo la usajili, majina yanayotajwa ni kusajiliwa na Van Gaal ni Sadio Mane kutoka SouthamptonRiyad Mahrez kutoka LeicesterAlex Teixeira kutoka Shakhtar DonetskKarim Bellarabi kutoka Bayer Leverkusen na Felipe Anderson kutoka Lazio.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox