Baada ya mchezo wa kombe la mfalme nchini uhispania kumalizika mshambuliaji wa Barcelona , L.Messi akiwa na mke wake Antonella Roccuzzo walijongea jijini London kupata chakula cha usiku wakiwa pamoja na kiungo wa Chelsea,Fabregas na mke wake Daniela Semaan.
Baada ya makutano hayo ambapo mke wa Messi bibie Antonella alionekana kuvutiwa na mazingira ya Jiji hilo na kupelekea kuleta majadiliano mengi kuwa huenda Chelsea wakatumia lugha ya mke wa Messi kumshawishi mshambuliaji huyo kutua Stam ford Bridge.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni