STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 11 Agosti 2016

TANZANIA TUMEPOROKA TENA KWENYE VIWANGO VYA FIFA

Shirikisho la Soka Duniani,  Agosti, 11 limetoa orodha ya viwango vipya vya ubora duniani kwa mwezi wa Agosti.

Katika orodha hio mpya Tanzania imeshka kwa nafasi moja na kutoka nafasi ya 123 hadi nafasi ya 124 katika mwezi ambao haikucheza mechi yoyote inayozihusisha timu za wakubwa.

Kwa upande wa ukanda wa Afrika Mashariki, Uganda wanaendelea kuongoza baada ya kupanda na kufikia nafasi ya 65 duniani

Kwa ngazi ya bara, viwango hivyo vimeonyesha kuwa kwa Afrika, Algeria inaongoza ikifuatiwa na Ghana, Ivory Coast na Senegal ikishika nafasi ya nne.

Argentina bado kinara katika orodha hio ambao haina mabadiliko yoyote katika nafasi 19 za juu zaidi.

Nafasi ya pili inashikwa na Ubelgiji, nafasi ya tatu Colombia, nafasi ya nne Ujerumani na nafasi ya tano ikishikiliwa na Chile.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox