Namba 10 kamili: Rodriguez aliivusha
Colombia hatua ya robo fainali na kuonesha kiwango ambacho hawajawahi
kucheza kombe la dunia.
Mfalme wa kucheza: Rodriguez na Los Cafeteros wakishangilia bao lao kwa kucheza kwa staili moja.
Anafukuzia: Rodriguez mwenye miaka 22 anakifukuzia kiatu cha dhahabu kwa kufikisha mabao matano.
Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.
Kikosi cha Colombia: Ospina 8, Zuniga 7.5, Zapata 6.5, Yepes 6, Armero 7, Cuadrado 7.5 (Guarin 81), Aguilar 7, Sanchez 6, Rodriguez 8.5 (Ramos 85), Gutierrez 7 (Meija 68), Mainez 6.5. Subs not used: Vargas, Arias, Carbonero, Ibarbo, Balanta, Bacca, Quintero, Valdes, Mondragon.
Kocha: Jose Pekerman 7.5.
Kadi ya njano: Armero.
Mfungaji wa magoli: Rodriguez 28, 50.
Kikosi cha Uruguay: Muslera 7, Caceres 6, Gimenez 6.5, Godin 6.5, A Pereira 6.5, M Pereira 7, Gonzalez 5.5 (Hernandez 67), Arevalo 5.5, Rodriguez 6, Cavani 7.5, Forlan 6 (Stuani 53). Subs not used: Munoz, Fucile, Gargano, Lodeiro, Perez, Ramirez, Coates, Silva.
Kocha: Oscar Tabarez 5.5.
Kadi ya njano: Jimenez.
Mwamuzi: Bjorn Kuipers (Holland) 6.5.
Idadi ya watazamaji: 73,804.
Viwango vya wachezaji na JEFF POWELL kwenye uwanja wa Maracana

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni