Usajili wa maana: Luis ni mchezaji mwingine mkubwa anayesajiliwa na kikosi cha Jose Mourinho msimu huu
BEKI
wa kushoto Filipe Luis amesaini Mkataba wa miaka mitatu Chelsea
kukamilisha uhamisho wake kutoka Atletico Madrid kwa ada ya Pauni
Milioni
16.
16.
Mchezaji
huyo wa Kibrazil mwenye umri wa miaka 28 amekabidhiwa jezi mamba tank
(5) Stamford Bridge, iliyoachwa wazi na Michael Essien aliyeondoka
Januari na atajiunga na kikosin cha Chelsea kwa ziara ya Ulaya wiki
ijayo.
"Uhamisho huu ni kutimia kwa ndoto zangu,"amesema Luis. "Sasanina fursa ya kuchezea Chelsea, na pia katika Ligi Kuu England,"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni