STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 27 Julai 2015

MEXICO WATWAA UBINGWA WA CONCACAF


MEXICO wametwaa Ubingwa wa Mashindano ya Kombe la Shirikisho la Soka la Nchi za Marekani ya Kaskazini na Kati pamoja na Visiwa vya Carribean, CONCACAF GOLD CUP baada ya kuifunga Jamaica mabao  3-1 katika Fainali iliyochezwa uwanja wa Lincoln Financial Field, USA.

Mabao ya Mexixco yalifungwa na Andres Guardado katika Dakika ya 31,  Jesus Corona dakika ya 47 na Oribe Peralta dakika ya 61.


Bao pekee la Jamaica lilifungwa katika Dakika ya 80 na Darren Mattocks.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox