STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 27 Julai 2015

HABARI MPYA KUHUSU KUREJEA KWA CR7 UNITED


Moja ya stori inayotembea sana kwa sasa ni Cristiano Ronaldo kuhusishwa kurejea Manchester United, lakini kocha mkuu wa klau hiyo, Louis van Gaal amekanusha taarifa hizo.

Mreno huyo alidumu miaka sita Man United  chini ya Sir Alex Ferguson kabla ya kuhamia Real Madrid kwa dau la paundi milioni 80 mwaka 2009.

The Dutchman confirmed that he won't be moving for the Real Madrid star but does want to bolster his attack
Van Gaal amesema Unted inahitaji mshambuliaji mmoja, lakini sio Cristiano Ronaldo. 

Ronaldo anahusishwa kurudi Old Trafford kwasababu hana mahusiano mazuri na kocha wa sasa wa Madrid,Rafa Benitez.
Van Gaal amesema: 

"Barcelona ina (Lionel) Messi, Neymar na (Luis) Suarez. Tunahitaji kupata aina hii ya wachezaji".

Mashabiki wa United wangefurahi kuona kipenzi chao Ronado anarejea, lakini Mholanzi huyo aliongeza "Hiyo haiwezekani kwasababu una klabu, inategemea unataka kutumia kiasi gani".

Hii inamaanisha Van Gaal anahofia bei ya kumchukua Ronaldo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox