STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 15 Julai 2014

Mtoto wa KAJALA “PAULINA” asherehekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wenye matatizo ya akili, picha ziko hapa

IMG_6441
Pichani aliyesimama katikati ni mtoto wa msanii wa bongo movie KAJALA MASANJA anajulikana kwa jina la PAULINA na leo anakumbuka siku yake ya kuzaliwa akaona siku hii muhimu
aje kusherehekea na wanafunzi wanaosoma Sinza Maalumu watoto ambao wanamatatizo ya akili. Walikuwepo watu mbalimbali wakiwemo wasanii wa bongo movie na wasanii bongo fleva, endelea kutizama picha hizi nilizokuchukulia mdau wangu nikiwa eneo la tukio.
IMG_6444 IMG_6447 IMG_6459
Hii ni ofisi ya mwalimu mkuu wa shule hiyo
IMG_6464
Msanii wa bongo fleva Quick Rocker nae alikuwepo
IMG_6468 IMG_6478 IMG_6482 IMG_6486 IMG_6488 IMG_6504 IMG_6503
Pichani ni walimu wanaowafundisha wanafunzi hao.
IMG_6498 IMG_6497 IMG_6490 IMG_6506 IMG_6508 IMG_6510 IMG_6524
Rais wa Bongo Movie akizungumza machache kabla ya kuwatambulisha wageni alioongozana nao shuleni hapo
IMG_6525 IMG_6554 IMG_6551 IMG_6542 IMG_6535 IMG_6527 IMG_6557 IMG_6560 IMG_6566 IMG_6567 IMG_6569 IMG_6573 IMG_6579 IMG_6591
Paulina na mama yake Kajala
IMG_8908 IMG_8921

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox