Kiungo nota wa Arsenal, Mesut Ozil
ameamua kutoa kitita cha pauni 240,000 (Sh milioni 600) alizozipata kwenye
Kombe la Dunia
.
.
Fedha hizo ni Bonus kwake baada ya
kuisaidia timu ya taifa ya Ujerumani kutwaa Kombe la Dunia kwa kuisunga
Argentina bao 1-0 na Ozil aliahidi hata kabla ya fainali.
Ozil ambaye ki-imani ni Muislam,
amezitoa fedha hizo kusaidia watoto wenye matatizo ingawa haikufafanuliwa
zaidi.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni