Sisi
ni mabingwa! Nahodha wa Ujerumani, Philipp Lahm (wa pili kulia mbele)
akiwa ameshika Kombe la Dunia akishangilia na wachezaji wenzake Uwanja
wa Maracana mjini Rio de Jeneiro, Brazil baada ya kuifunga Ujerumani 1-0
na kutwaa taji hilo


Kocha wa Ujerumani, Joachim Low (katikati) akiinua Kombe la Dunia

Mtoa pasi ya bao, Andre Schurrle akipongezwa na mpenzi wake, Montana Yorke baada ya mechi

Mario Gotze (kushoto) akishangilia na Thomas Muller baada ya kufunga bao pekee la ushindi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni