Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) limepiga
nyundo kwenye kidonda baada ya kuizua Barcelona kusajili hadi Januari 2016.
Awali Barcelona ilikata rufaa kwa Fifa ikipinga
adhabu hiyo, badala yake Fifa imetia msisitizo kuhusiana na adhabu hiyo.
Sasa Barcelona itaendelea kusubiri kufanya usajili
hadi mwaka keshokutwa!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni