Majeruhi:
Kiungo wa Manchester United, Jesse Lingard akiondoka kwa msaada wa
magongo kutoka hospitali ya Bridgewater, ambako alikwenda kutibiwa mguu
wake wa kulia baada ya kuumia juzi katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu
ya England dhidi ya Swansea City Uwanja wa Old Trafford. United
ilifungwa 2-1 na beki huyo anaungana na majeruhi wengine wa klabu hiyo
mwanzoni mwa msimu, Jonny Evans, Rafael, Luke Shaw, Antonio Valencia,
Danny Welbeck, Anderson na Michael Carrick.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumatatu, 18 Agosti 2014
Home
/
Unlabelled
/
BALAA GANI HILI MAN UNITED! MAJERUHI WALUNDIKANA MAPEMAA OLD TRAFFORD, LINGARD NAYE SASA ATEMBELEA MAGONGO
BALAA GANI HILI MAN UNITED! MAJERUHI WALUNDIKANA MAPEMAA OLD TRAFFORD, LINGARD NAYE SASA ATEMBELEA MAGONGO
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni