Inaonekana Diego Costa na John
Terry watakuwa washkaji sana.....
Mchumba wa zamani
wa mwanasoka mpya wa klabu ya Chelsea Diego Costa ameibuka na kusema aliachana
na Costa baada ya mchezaji huyo kutaka kutembea na mdogo wa kike wa mchumba
wake huyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni