STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 18 Agosti 2014

WAMILIKI WA MANCHESTER UNITED HATARINI KUTIMULIWA OLD TRAFFORD

Umoja wa mashabiki wa Manchester United wasioutaka umiliki wa wamerekani#TheGlazers wameandaa maandamano ya kuupinga utawala huo siku ya mechi ya dhidi ya QPR - mashabiki hao wamekuwa wakihamasisha wenzao dunia nzima kupitia mitandao ya kijamii hasa Twitter ambapo wana kampeni ya #GlazersOut wakisisitiza klabu yao kufanya usajili wa maana kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox