Edin Dzeko akisaini mkataba mpya.
EDIN Dzeko amesaini mkataba wa miaka minne na mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini England, Manchester City.
Nyota huyo wa kimataifa wa Bosnia
aliandika katika mtandao wake wa Twita kuwa amesaini mkataba na alisema:
"Nimefurahi na najivunia kuongeza mkataba na Manchester City. Nipo pale
ninapopenda. Nimeongeza mpaka 2018.
Maisha yanataka nini tena?: Dzeko akipozi mbele ya Camera baada ya kuanguka miaka minne, sasa atadumu Etihad mpaka 2018
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni