STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 21 Agosti 2014

RAMOS, RONALDO WAIAMBIA MADRID IMBAKIZE DI MARIA



Wachezaji wawili wa Real Madrid, Sergio Ramos na Cristiano Ronaldo, wameulilia uongozi wa klabu hiyo kuhakikisha Angelo Di Maria anabaki.
Wawili hao wanaamini bado wanamhitaji mkali huyo kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kikosi chao.
Timu kadhaa ikiwemo Manchester United zimekuwa zikimvizia kwa udi na uvumba raia huyo wa Argentina.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox