BEKI wa pembeni wa Hispania, Alberto Moreno amesaini Liverpool kwa ada ya Pauni Milioni 12.
Makubaliano
ya uhamisho huo yalifikiwa mapema wiki hii, lakini ikachukua muda hadi
sasa klabu hiyo inamtambulisha rasmi mchezaji huyo.
Mchezaji
huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akifanya vizuri kwa miaka miwili
iliyopita - ikiwa ni pamoja na kuwamo kwenye kikosi cha U21 cha Hispania
kiloichochukua ubingwa wa Ulaya mwaka 2013, na kung'ara Sevilla.
Moreno
alishinda taji la Europa League na Sevilla msimu uliopita na alimwaga
machozi baada ya kufungwa na Real Madrid katika mechi ya UEFA Super
Jumanne
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni