STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 30 Novemba 2014

PESA KWELI NI KOBOKO.. WAARABU WAONDOA MSALABA KWENYE NEMBO YA REAL MADRID


Real Madrid imekubali kuuondoa msalaba ulio kwenye nembo yake baada ya kupata udhamini mpya Uarabuni.
Klabu hiyo tajiri duniani imepata udhamini mnono na Benki ya Abu Dhabi inayojulikana kama National Bank of Abu Dhabi.

Hali hiyo imefanya Madrid iondoe msalaba ulio juu kabisa ya nembo yake katika nembo zote zitakazotumika kwenye Falme za Kiarabu.

Hiyo inatokana na imani ya Kiislamu na ndiyo dini kuu kwa Falme za Kiarabu (UAE) yenye emirates maarufu na miji mikubwa zaidi ni Dubai na Abu Dhabi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox