Chelsea wametua Bangkok Thailand na kupokelewa vizuri kinoma.
Mashabiki wa Chelsea wamejitokeza kwa wingi kuwapokea Chelsea huku wengine wakitaka kukumbatiwa na kiungo nyota, Eden Hazard.
Chelsea ambao ni mabingwa wa England, watacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Thailand All Stars, Jumamosi.
Baada ya mechi hiyo ya kirafiki, Chelsea watafungas afari hadi Australia ambako watacheza mechi nyingine ya kirafiki. Angalia walivyopolekewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni