MSHAMBULIAJI nyota wa
AC Milan, Stephan El Shaarawy amesisitiza hana mpango wowote wa kuondoka
katika timu hiyo na badala yake amepania kuipa mafanikio katika mwaka
unaokuja. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akisumbuliwa na
majeruhi katika miezi 12 iliyopita lakini sasa anaonekana kurejea katika
kiwango chake tena baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa
mabao 4-2 waliopata dhidi ya Real Madrid jana. Wakati dirisha dogo la
usajili likitarajiwa kufunguliwa kesho, El Shaarawy alikuwa akihusishwa
na tetesi za kuondoka San Siro lakini mwenyewe sasa amepania amepania
kufurahia mwaka ujao akiwa na timu hiyo. Nyota huyo aliwaambia
wanahabari huko Dubai ulipofanyika mchezo wao dhidi ya Madrid kuwa hana
mpango na hajafikiria kuondoka Milan kwasasa.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

MSHAMBULIAJI nyota wa AC
Milan, Stephan El Shaarawy amesisitiza hana mpango wowote wa kuondoka
katika timu hiyo na badala yake amepania kuipa mafanikio katika mwaka
unaokuja. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 22 amekuwa akisumbuliwa na
majeruhi katika miezi 12 iliyopita lakini sasa anaonekana kurejea katika
kiwango chake tena baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa
mabao 4-2 waliopata dhidi ya Real Madrid jana. Wakati dirisha dogo la
usajili likitarajiwa kufunguliwa kesho, El Shaarawy alikuwa akihusishwa
na tetesi za kuondoka San Siro lakini mwenyewe sasa amepania amepania
kufurahia mwaka ujao akiwa na timu hiyo. Nyota huyo aliwaambia
wanahabari huko Dubai ulipofanyika mchezo wao dhidi ya Madrid kuwa hana
mpango na hajafikiria kuondoka Milan kwasasaCopy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Real Madrid: Navas, Arbeloa, Coentrao, Varane, Nacho, Illarra, Isco,
Khedira, Jese, Ronaldo, Hernandez
Subs: Casillas, Pacheco, Pepe, Kroos, Benzema, Rodriguez, Bale,
Carvajal, Raul de Tomas, D. Llorente, M. Llorente
Booked: Pepe, Kroos, Carvajal
Scorers: Ronaldo 35, Benzema 84
AC Milan: Diego Lopez, Bonera, Mexes,
Zapata, Albertazzi, Montolivo, De Jong, Muntari, Bonaventura, Menez, El
Shaarawy
Subs: Agazzi, Abbiati, Pazzini, Rami,
Essien, Poli, Niang, Saponara, Armero, Dias, Da Costa, Zaccardo, Mastour
Booked: Mexes
Scorers: Menez 24, El Shaarawy 31, 49, Pazzini 73
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni