STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 12 Desemba 2014

EVERTON YAJIPANGA KUMUONGEZA MKATABA ETO'O.

WAKALA wa mshambuliaji nyota wa kimataifa wa Cameroon, Samuel Eto’o anatarajiwa kuwa nchini Uingereza wakati wa krismasi ili kuzungumzia suala la kuongeza mkataba na klabu ya Everton. Mkataba aliosaini mshambuliaji huyo wakati akitua Goodison Park kama mchezaji huru katika majira ya kiangazi una kipengele ambacho kinaruhusu mazungumzo kufanyika pindi mechi 15 zinazpokuwa zimechezwa. Kutoka na umuhimu wa Eto,o katika klabu hiyo baada ya kufunga mabao manne na kusaidia mengine mawili katika mechi 15 za mashindano yote, Everton wanaonekana kuwa tayari na mazungumzo hayo. Mara kadhaa kocha wa Everton, Roberto Martinez amekiri kuwa angependa kumbakisha Eto’o mwenye umri wa miaka 33 katika kikosi chake.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox