STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 12 Desemba 2014

PARDEW, AGUERO WAIKWAA TUZO YA MWEZI LIGI KUU.

MENEJA wa klabu ya Newcastle United, Alan Pardew ametajwa kushinda tuzo ya kocha bora wa mwezi Novemba wa Ligi Kuu huku mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero yeye akipewa tuzo hiyo kwa upande wa wachezaji. Pardew mwenye umri wa miaka 53 ameingoza Newcastle kushinda mechi tatu kati ya nne na kunyakuwa tuzo hiyo mbele ya meneja wa Chelsea Jose Mourinho na Manuel Pellegrini wa City. Washambuliaji wa Queens Park Rangers, Charlie Austin, Danny Ings wa Burnley na Aguero wote wamefunga mabao matatu kila mmoja mwezi uliopita lakini tuzo amekwenda kwa nyota huyo wa kimataifa wa Argentina. Hiyo inakuwa mra ya pili kwa Aguero kushinda tuzo hiyo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox