STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 30 Desemba 2014

FABREGAS AFANYIWA ROHO MBAYA KIKOSI BORA CHA MSIMU!!



Chelsea midfielder Cesc Fabregas was left out of Monday Night Football's team of the season so far
Kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas 

NYOTA wa Chelsea, Cesc Fabregas ameachwa katika kikosi bora cha msimu huu kilichochaguliwa na  Gary Neville na Jamie Carragher na badala yake ameingizwa kiungo wa  Southampton, Morgan Schneiderlin.
Carragher alitaka kumuweka Fabgregas katika kikosi chake kutokana na kupiga pasi za mwisho 13 msimu huu, lakini Veville alimchagua Schneiderlin.
Kura ziliamuriwa na watazamaji wa Sky Sports kupitia mtandao wa kijamii wa Twita ambapo kiungo huyo wa 'Watakatifu' amemshinda Fabregas.
 Schneiderlin alipata asilimia 62 ya kura zote.
Gary Neville and Jamie Carragher selected their combined team of the season so far on Monday night
Hii ndio timu muunganiko iliyochaguliwa na Gary Neville na Jamie Carragher

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox